Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.

http://www.dw.de/dw/0,,2683,00.html?maca=kis-DKpodcast_dwn1_kis-4103-xml-mrss

subscribe
share






Somo 17 – Vikombe vinne – bei ya jumla, Maki nne!


Sanamu za mbilikimo wa bustanini na kijizimwi...Muhtasari wa sarufi: Viwakilishi binafsi, shamirisho la moja kwa moja (direct object)


fyyd: Podcast Search Engine
share








 March 17, 2009  14m