Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.

http://www.dw.de/dw/0,,2683,00.html?maca=kis-DKpodcast_dwn1_kis-4103-xml-mrss

subscribe
share






Somo 16 – Hebu ujaribu!


Katika soko la vitu vikuu Ex anajiingiza kati tenaMuhtasari wa sarufi: Hali ya kuamuru (imperative)


fyyd: Podcast Search Engine
share








 March 17, 2009  14m