Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.

http://www.dw.de/dw/0,,2683,00.html?maca=kis-DKpodcast_dwn1_kis-4103-xml-mrss

subscribe
share






Somo 23 – Nani huyo anayezungumza?


Andreas anatafuta tena kisingizio...Muhtasari wa sarufi: Vitendo visivyo kawaida (irregular verbs)


fyyd: Podcast Search Engine
share








 March 18, 2009  15m