Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.

http://www.dw.de/dw/0,,2683,00.html?maca=kis-DKpodcast_dwn1_kis-4103-xml-mrss

subscribe
share






Somo 15 – Je, kanda (kaseti) unaziuza pia?


Andreas anajiandaa kwenda kuuza vitu vyake kwenye soko la vitu vikukuu (flea market)...Muhtasari wa sarufi: Majina: muundo wa wingi (plural)


fyyd: Podcast Search Engine
share








 March 17, 2009  14m