Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.

http://www.dw.de/dw/0,,2683,00.html?maca=kis-DKpodcast_dwn1_kis-4103-xml-mrss

subscribe
share






Somo 11 – Chumba kama hicho tena!


Hanna, msichana anayesafisha vyumba na kero la wageni...Muhtasarui wa sarufi: Kidhihirishi -kikamilifu na kisicho kikamilifu


fyyd: Podcast Search Engine
share








 March 17, 2009  14m