In the olden days, men hunted and gathered, while women raised the babies. But traditions must, and should change. In today’s world, it’s equal rights for all. Equal opportunities for all. A woman’s voice must he heard and her decisions listened to. This is the progressive era of Feminism...
Mwezi March Mwaka 2020, Tanzania ilitangaza kesi ya kwanza ya mtu aliyegundulika na virusi vya Corona. Kwa Mussa (sio jina lake halisi) hakuona kama hili jambo linamhusu. Musa ana mke ambae ni Daktari, ana watoto wawili lakini pia anaishi na mama yake pamoja na baba mkwe wake. Pale wafanyakazi wanaofanya ofisi moja na mke walipogundulika kua na virusi vya Corona, ilimbidi Mussa aiweke familia yake yote katika “karantini”,na hapo ndipo kazi ilipoanza...