Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.

http://www.dw.de/dw/0,,2683,00.html?maca=kis-DKpodcast_dwn1_kis-4103-xml-mrss

Eine durchschnittliche Folge dieses Podcasts dauert 13m. Bisher sind 78 Folge(n) erschienen. Alle 0 Tage erscheint eine Folge dieses Podcasts
subscribe
share

Somo 13 – Huu hapa tafadhali – ufunguo wangu!


Kuja na kuondoka – Andreas akiwa kazini...Muhtasari wa sarufi: Vidhihirishi vya umiliki mein, dein, n.k.


share 2009-03-17  15m
 
 

Somo 13 – Huu hapa tafadhali – ufunguo wangu!


Kuja na kuondoka – Andreas akiwa kazini... Muhtasari wa sarufi: Vidhihirishi vya umiliki mein, dein, n.k.


share 2009-03-17  15m
 
 

Somo 12 – Mwanafunzi au mpokezi?


Ex hawezi kufunga mdomo wake...Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vitendo (IV)


share 2009-03-17  14m
 
 

Somo 12 – Mwanafunzi au mpokezi?


Ex hawezi kufunga mdomo wake...Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vitendo (IV)


share 2009-03-17  14m
 
 

Somo 12 – Mwanafunzi au mpokezi?


Ex hawezi kufunga mdomo wake... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vitendo (IV)


share 2009-03-17  14m
 
 

Somo 11 – Chumba kama hicho tena!


Hanna, msichana anayesafisha vyumba na kero la wageni... Muhtasarui wa sarufi: Kidhihirishi -kikamilifu na kisicho kikamilifu


share 2009-03-17  14m
 
 

Somo 11 – Chumba kama hicho tena!


Hanna, msichana anayesafisha vyumba na kero la wageni...Muhtasarui wa sarufi: Kidhihirishi -kikamilifu na kisicho kikamilifu


share 2009-03-17  14m
 
 

Somo 11 – Chumba kama hicho tena!


Hanna, msichana anayesafisha vyumba na kero la wageni...Muhtasarui wa sarufi: Kidhihirishi -kikamilifu na kisicho kikamilifu


share 2009-03-17  14m
 
 

Somo 10 – Kuna chuma (hotelini) kitupu?


Mgeni mpya anawasili... Muhtasari wa sarufi: Kuuliza swali kwa kiwakilishi cha kuuliza


share 2009-03-17  13m
 
 

Somo 10 – Kuna chuma (hotelini) kitupu?


Mgeni mpya anawasili...Muhtasari wa sarufi: Kuuliza swali kwa kiwakilishi cha kuuliza


share 2009-03-17  13m