Gesamtlänge aller Episoden: 13 days 9 hours 48 minutes
Dementia is not a normal part of ageing and yet Alzheimers Australia predicts by mid-century almost a million people will be living with the illness. -
Dementia ni ugonjwa wa akili ambao si sehemu ya kawaida yaku zeeka, hata hivyo shirika la Alzheimers Australia lime tabiri kuwa kufikia katikati ya karne hii, idadi ya watu wapatao milioni wata ishi na ugonjwa huo.
Can art save communities? many presidents in Africa are embroiled in the issue of running for third terms despite bitter opposition from the respective countries citizens. - Je sanaa yaweza nusuru jamii ? Wakati huu suala la muhula watatu kwa baadhi ya maraisi waafrika ukizua utata.
Members of the ADF Nalu rebel group were recently brought before a military court in Beni, North Kivu, DR Congo. -
Mahakama ya kijeshi mjini Beni ilihanza kusikiliza kesi ya watuhumiwa kadhaa wa wanamgambo kutoka kundi la waasi wa ADF Nalu katika mji wa Beni mkoani kivu, kaskazini mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo.
When federal parliament resumes next Tuesday (Aug 30) the Government will be dealing with the largest senate crossbench in Australian history.
- Bunge la taifa litakapo fanya kikao cha kwanza jumanne tarehe 30 Agosti, serikali ita kabiliana na seneti yenye wanachama wengi kutoka vyama vingi vidogo katika historia ya Australia.
The father of a spectator who threw a banana at A-F-L Indigenous star Eddie Betts has denied the incident was a racist act.
-Baba ya shabiki wa mchezo wa AFL aliye mrushia ndizi mchezaji waki Aboriginal Eddie Betts uwanjani, ame tupilia mbali madai kuwa tendo hilo lilikuwa laubaguzi wa rangi.
Its Tax Time. This means the 2015 to 2016 financial year is nearing its end.
There are questions over how hundreds of asylum seekers and refugees from the regional processing centre in Papua New Guinea will be resettled after news the facility will close. -
Maswali yame ibuka kuhusu hatma ya mamia yawaomba hifadhi na wakimbizi ambao wako ndani ya kizuizi nchini Papua New Guinea, baada yaku fungwa kwa kituo hicho.
Kenya has suffered a sever battering at this years Olympic games in Rio de Janeiro, Brazil. Two coaches were sent home in disgrace days after WADA removed Kenya from the non compliant countries list.
-Kenya ime kabiliana na janga moja hadi lingine katika michuano ya Olimpiki mjini Rio de Janeiro, Brazil. Wakufunzi wawili walirejeshwa nyumbani mapema siku chache baada ya shirika la WADA kuondoa Kenya, katika orodha ya nchi ambazo hazi tekelezi masharti ya shirika hilo.
The federal government has moved quickly into damage control mode after the failure of the census web site due to a deliberate effort to sabotage the exercise.
-Serikali ya taifa imechukua hatua za haraka kudhibiti madhara yaliyo sababishwa na tovuti ya sensa kufeli, kwa sababu ya majaribio yaku sababisha uharibifu katika tovuti hiyo.
Prime Minister Malcolm Turnbull is facing a robust fight with the states and territories over planned changes to the way GST revenue is distributed. -
Waziri Mkuu wa Australia Malcolm Turnbull ana tarajia kukumbwa na upinzani mkali toka kwa viongozi wa mikoa na majimbo kuhusu mipango ya serikali yaku badili jinsi mapato ya kodi ya bidhaa na huduma ama GST kama inavyo julikana hugawanywa.