SBS Swahili - SBS Swahili

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

https://www.sbs.com.au/language/swahili/sw/podcast/sbs-swahili

Eine durchschnittliche Folge dieses Podcasts dauert 10m. Bisher sind 1551 Folge(n) erschienen. Dies ist ein täglich erscheinender Podcast.

Gesamtlänge aller Episoden: 13 days 9 hours 48 minutes

subscribe
share






What is the cost of not being held accountable in Kenya? - Gharama yakuto wajibika nchini Kenya ni gani?


In recent days there has been a rising spate of incidences where students have been blamed for burning down their schools. -

Visa vya shule kuteketezwa kwa moto vimeongekeza katika siku za hivi karibuni nchini Kenya. Wanafunzi katika baadhi ya shule hizo ndiwo wame laumiwa kwa visa hivyo.


share








 August 12, 2016  13m
 
 

Kenya thrown into fresh scandal in Rio - Kenya yatumbukizwa katika kashfa mpya mjini Rio


Kenyans around the world breathed a sigh of relief following the announcement that the World Anti-Doping Agency (WADA) had removed their nation from the list of doping code non compliant countries.  -

Wakenya duniani kote wali sherehekea tangazo la kuondolewa kwa nchi yao katika orodha ya mataifa ambayo haya tekelezi masharti ya shirika linalo kabiliana na matumizi ya madawa yaku ongeza nguvu mwilini miongoni mwa wanariadha (WADA).


share








 August 12, 2016  6m
 
 

Settlement Guide: What to do when someone goes missing - Mwongozo wa makazi: Mtu akipotea utafanyaje?


Every hour four people go missing in Australia.While most are found, the disappearance of one person can affect the lives of 12 others - according to the National Missing Persons Coordination Centre.  

-

Kila saa watu wanne hupotea nchini Australia, wakati wengi wao hupatikana, kupotea kwa mtu mmoja kunaweza athiri maisha ya watu wengine 12, hiyo ni kwa mujibu wa kituo cha uratibu cha watu walio potea nchini.  


share








 August 9, 2016  9m
 
 

Settlement Guide: How to complete the census - Mwongozo wa Makazi: Jinsi yaku jaza fomu ya sensa


The 2016 census on August 9 will be Australias biggest ever survey.The Australian Bureau of Statistics (ABS) expects to count twenty-four million people from more than two hundred countries speaking over three hundred languages 

-

Mwaka huu sensa ita fanywa tarehe 9 Agosti, inatarajiwa kuwa tafiti kubwa zaidi katika historia ya Australia...


share








 August 8, 2016  9m
 
 

What are the challenges of migrating to a new country? - Masaibu ya uhamiaji


Moving into a new country often presents a host of challenges for many people.

- Watu wengi wanapo hamia katika nchi mpya, wengi wao hukumbwa na changamoto mbalimbali.


share








 August 5, 2016  19m
 
 

Trump, parents of dead Muslim US soldier in dispute - Mzozo wazuka kati ya Donald Trump na wazazi wa mwanajeshi Muislamu aliye fariki vitani


The mother of a Muslim United States soldier who was killed in Iraq is accusing Republican presidential nominee Donald Trump of not knowing what sacrifice means.   -

Mama ya mwanajeshi wa Marekani aliyekuwa Muislamu na ambaye ali uawa nchini Iraq, amemshtumu mgombea wa Urais wa chama cha Republican Donald Trump kwakuto elewa maana yakafara.  


share








 August 2, 2016  6m
 
 

Turnbull orders royal commission into Top End detention - Turnbull aamrisha uchunguzi wa vizuizi vya vijana katika wilaya ya Kaskazini


Prime Minister Malcolm Turnbull says there will be a royal commission into what he calls a culture of torture-like treatment of children held in detention in Australia's Top End. He says the royal commission will also investigate whether there has been a deliberate cover-up of the issue.     -

Kanda ya video ime onesha watoto ndani ya kituo cha kizuizi cha vijana ambacho kiko mjini Darwin kaskazini ya Australia, waki adhibiwa kwa gesi yakutoa machozi. 


share








 July 26, 2016  5m
 
 

Firing up a new business is fraught with pitfalls - Changamoto zaku fungua biashara


Australia's small-business sector contributes 340 billion dollars to the national economy and employs 4-and-a-half million Australians.

-

Sekta ya biashara ndogo nchini Australia huchangia bola bilioni 340 katika uchumi wa taifa, pamoja naku ajiri idadi yawa Australia wapatao milioni 4.5. 


share








 July 26, 2016  6m
 
 

AU summit dominated by concerns over South Sudan - Gumzo kuhusu Sudan Kusini la tawala kongamano la AU


Concerns about renewed fighting in South Sudan has topped the agenda at the annual African Union summit being held in Rwanda.   -

Wasi wasi kuhusu mapigano mapya nchini Sudan Kusini ume tawala ajenda ya kongamano la Umoja wa Afrika nchini Rwanda. 


share








 July 19, 2016  5m
 
 

New Turnbull ministry stirs quick debate - Baraza jipya la mawaziri la Turnbull lazua mjadala


The Prime Minister has unveiled his new Cabinet in Canberra after the Coalition met for the first time since the federal election.  

-

Waziri Mkuu wa Australia amezindua baraza lake mpya la mawaziri mjini Canberra, baada ya mkutano wa kwanza wa chama cha mseto tangu uchaguzi mkuu ulipo kamilika. 


share








 July 19, 2016  6m